Kama una natural hair hii ni kwa ajili yako, jinsi ya ku save hela kwa kutengeneza hii homemade leave in conditioner ambayo inaweza kukaa kwa wiki mbili tu lakini ni very useful na rahisi kutengeneza
Utahitaji
●bamia 5
●Grapseed oil (oil of ur choice)
●Vikombe viwili vya maji safi
■Kata bamia vipande vidogo vidogo km vya kupika mrenda lol changanya na maji kikombe kimoja na nusu weka jikoni acha vichemke km dakika 15 ■weka maji yaliyobaki na uweke tena jikoni kwa dakika 5 ,epua acha zipoe weka sehemu kwa siku moja.
■Chuja vizuri siku ya pili ili kutenganisha bamia halafu changanya na 1/3 ya mafuta km una essential oils unaweza kuchanganya drops tu.
NB:
Shake well every time you use it
kwa more useful tips kama hizi kwa ajili ya natural hair zako, wafollow instagram @naturalhairtanzania