Tatizo hili huwapata wamama au wabab wengi wenye miili minene, japo hata wembamba pia huwapata lakini ni kumi kwa mmoja. Wengi hawapendi mabunye haya na hizi ni namna chache za jinsi ya kuziondoa/kupunguza  cellulites
1)Unaweza kuzipunguza sana kwa mazoezi ya mapaja, miguu na makalio kama squats na legs workout.

2)Dry brushing pia inasaidia sana kuziondoa.

dry-brush

Unachukua brush kama hyo hapo kwenye picha na kubrush areas zilizo na cellulite ngozi ikiwa kavu.

Vile vile paka mafuta ya nazi , waweza kutumia mafuta ya nazi ndio ikawa kama vile lotion yako.

Kupata matokeo mazuri zaidi waweza kuyapasha mafuta moto kabla ya kuyamasage kwenye ngozi… vile vile mafuta ya nazi yaliyopashwa moto husaidia sana kupunguza streachmarks.

Baada ya mwezi, kwa kufanya kila siku utaona matokeo makubwa sana.

Ol the best kwa watakao jaribu.

jinsi ya kupunguza/kuondoa cellulites (mabunyebunye)

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com