Ni kweli kuna faida nyingi za kununua mavazi online la kwanza ni ku save muda lakini pia kuna hasara nyingi mno endapo kuna baadhi ya vitu huto vijua,

1) Jua Size yako mara nyingi wauzaji wanapo post mavazi huwa wana taja na size za mavazi hayo, jua size ya mwili wako yaani kifua, kiuno, mabega nk hii ita kusaidia kupata nguo size yako na si kubwa wala ndogo.

size.chart_

2) Rangi ya picha ni tofauti na uhalisia usi danganywe na rangi ya picha jua kabisa itakua ime pigwa msasa, kwaio jua kitakacho kuja kitakua tofauti kidogo na ulicho kiona.

3) Muulize muuzaji material ya nguo kabla hujainunua, fanya research ya material za nguo kama ni cotton,canvas, lace nk hii itakusaidia kujua kama utaitaka hio nguo au lah

Embroidered_Picture_Pillows_001-645x429

4) Kabla ya manunuzi uliza kama wana kanuni za kurudisha kama hujakipenda kitu hii itakusaidia pale ambapo utapewa kitu ambacho huja kipenda ukaweza kukirudisha bila kukwaruzana na muuzaji

 

Comments

comments