Hakuna mtu asiye penda shepu nzuri hasa kwa wasichana na wamama wa mjini lakini wengi wao hawana muda wa kwenda Gym kufanya mazoezi eidha kwa sababu ya kukosa muda (kazini, familia) au kwa uvivu wa hapa na pale, Squarts ni mazoezi yanayo saidia kukaza mwili,aina hii ya mazoezi husaidia kujenga misuli ya miguu,mikono, tumbo, mapaja na makalio.

Lunges-in-steps

Ni rahisi mno kufanya Squarts haihitaji nafasi kubwa unaweza kufanya popote hata kazini, namna ya kufanya squats ili upate shepu bomba.