Darling Hair

Kwa wanawake wana mapambo mbali mbali ya kuvaa, ukianzia vibanio vya nywele, hereni, mikufu, pete nakadhalika ila kwa kaka zetu ni tofauti kidogo wana vitu vichache mno vya kuvaa kama mapambo, kama una taka kuwa mwanaume stylish haya ndio mapambo (accessories) ambazo ni lazima uwe navyo

Viatu

1214ms-mens-leather-lace-up-dress-shoes

Huwa tuna sema kitu cha kwanza kwa mwanamke kuangalia kutoka kwa mwanaume ni viatu “they say shoes speaks one’s personality”, kwa hivyo ni vyema kuwa na viatu tofauti tofauti na kwa wanaume hukosea kudhani kiatu cheusi kina enda na vazi lolote, hapana si kweli na hii haimaanishi uwe na kiatu cha kila rangi lakini atleast kuwa na kiatu cheusi na brown. Pia kuwa na pair kadhaa za viatu kama official shoes, sports wear, sandals na Converse.

Saa

dsc_0097

 

Saa is a must have kwa mwanaume kwa sababu mbali mbali wanaume huwa hawapendelei sana kuvaa accessories ila saa ni kitu ambacho mwanaume akikivaa hupendeza mno na kuonekana mtanashati kama akikivaa kinavyo paswa.

Mkanda

belts-for-men-belt-material-overview-comp-1024x576

asilimia nyingi ya wanaume hupenda kuwa na mkanda mmoja, kiukweli mkanda ni kitu ambacho kina add value katika vazi lako, na ina pendeza zaidi pale mwanaume anapo mach mkanda na viatu, haileti picha nzuri pale mwanaume anapo vaa mkanda mweusi viatu vya brown au vise versa, hakikisha una pair ya mikanda ya rangi mbalimbali inayo endana na viatu vyako.

hope ume jifunza kitu untili next time.

tupe maoni yako kupitia

Facebook – afroswaggamag

Instagram – afroswagga

Twitter – afroswaggatz

 

STYLISH ACCESSORIES KWA WANAUME

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com