Darling Hair

Nywele ni moja kati ya vigezo vilivyopo katika urembo,huwezi kupaka make up nzuri ukawa na nywele mbaya na uka pendeza.  Wote wanaume na wanawake wana faa kuwa na nywele zenye afya na zinazo pendeza, kuwa na nywele mbaya ina maanisha siku yako pia inaenda vibaya.

kuna baadhi ya tabia ambazo tunazo ambazo pasipo kujua huwa zina dhoofisha afya ya nywele zetu

– Msongo wa mawazo

msongo wa mawazo auharibu tu mfumo wa afya yako bali pia una dhoofisha nywele na kusababisha nywele zikatike, na kuota yena huchukua kati ya miezi sita hadi nane

-Lishe duni

lishe pia ina weza kusababisha kudhoofisha nywele, unapo kosa lishe nzuri nywele nazo huwa zina kosa rutuba ya kuweza kukua kwa kasi yake ya kawaida.

-Vifaa vya nywele

siku hizi kuna vifaa mbali mbali vya ku style nywele na vingine hutumia moto mwingi sana, jaribu kutumia vifaa hivi mara chache chache maana pale unapo ichoma nywele ina pungua uwezo wake kwa maana utakuta nywele zinakua nyepesi na kupukutika bila wewe kujua ni kwanini kumbe ni ule moto ambao unautumia mara kwa mara ku style nywele zako.

c700x420

-kuweka dawa nywele

hii ipo sana kwetu sote wadadana wakaka siku hizi ni kweli wa Africa tuna nywele ngumu na unapo zichana zinaweza zikauma sana lakini ili uweze kurainisha nywele hizi si lazima utume dawa ambazo zina makemakali makali, pindi uendapo kununua dawa za nywele jaribu kuangalia uwezo wa kemikali zake kama ni nyingi basi tafuta zile ambazo kemikali zake si kali sana.

5489f3f732c21_-_rbk-11-worst-things-to-do-to-hair-too-many-chemicals-s2

-mchano wa aina moja

inawezeka ukawa unachana mchano mmoja wa nywele kama kurudisha nyuma hii husababisha nywele za mbele kukatika na pia siku hizi kuna michaco ukichana ni lazima uchambue nywele kama picha chini inavyo onyesha michano hii pia uharibu nywele zako

how_to_tease_hair

TABIA TANO MBAYA ZINAZO HARIBU NYWELE

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com