Sote tunajua weekends are for casual unless una mtoko usiku labda harusi au sherehe lakini kama ni mikutano na washkaji basi casual ndio mahala pake, huitaji suit & tie unacho hitaji ni simple outfits tu, na leo Afroswagga tukishirikiana na storm.tv tunakuletea ideas za kuvaa skinny jeans yako nyeusi weekend hii

Unaweza kuvaa skinny jeans yako na colorful shirt/t-shirt etc ili kuongeza rangi katika mtoko wako unaweza kuvaa na sandals, sneakers au oxford shoes

T-shirt Nyeusi na nyeupe (monochrome) ni chaguo zuri kama hutaki kuonekana too much

All black na pop of denim jacket

Denim shirt X black skinny jeans

Note: skinny jeans nyeusi ni muhimu kuwa nayo katika kabati lako, unaweza kuivaa vyovyote, popote na mara nyingi uwezavyo, its a good to go kind of a cloth hasa pale unapo kuwa hujui uvae nini.

 

Weekend Outfit Ideas – Black skinny Jeans For Men

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com