Wote tunajua rasta ndio habari ya mjiji iwe za njia tatu kusokota,dreads,havanna vyovyote. katika pita pita zetu tumekutana na hawa wawili Nelly Kimwelu na Abby wote wakiwa wame sukia Havanna Twist Je nani kapendeza zaidi?

ABBY ABBY2

 

Abby

NELLY NELLY2

Nelly