British pop-star Alesha Dixon na fashion blogger kutoka Tanzania bi Lavidoz, wameonekana kuvalia hii multi-colored blazer cape inayo fanana wakati Alesha alivaa hii blazer na short pant nyeusi na vest nyeusi aka accessorize na choker na hereni, bangili na pete, simple makeup huku nywele ame weka bantu knots

37DC20B000000578-3772195-image-m-182_1472907735897 (1) 37DC185500000578-3772195-image-m-181_1472907718426

Alimalizia muonekano huu na sneakerz nyekundu

Kutoka nyumbani Lavidoz yeye alivaa hili koti na Vest nyeusi na jeans nyeusi, alimalizia muonekano wake na pump heels pamoja na clutch ndogo.

LAVIDOZ1 LAVIDOZ21

Comments

comments