Well kuna mtu hamjui Diamond Platnumz? mmh hatudhani ila kama yupo ni msanii kutoka Tanzania ambae ana fanya kazi nzuri ya kututoa kimaso maso wa Tanzania katika ulimwengu wa muziki, wengi tulikuwa tuna penda styles zake wakati anaanza lakini kwa sasa hatujui nini diamond ana jaribu kutuambia that he is so big ame settle hajisumbui kuangalia muonekano wake? lakini si inatakiwa ukiwa big ndo uwe muangalifu zaidi maana ingekuwa hivyo Jay angeenda kwenye interview na boxer (lol). Well kisa cha povu letu hilo ni jinsi mond A.K.A Simba alivyo vaa katika Interview yale asubuhi clouds tv

Huu muonekano ni NO kwa msanii mkubwa kama yeye yaani hajui hivi viatu vina endana na mavazi gani? Hio kofia ya mzee ojwang hajui ina takiwa ivaliwe wapi? na kwanini hii suit ime m’bana kiasi hiki alinunua kabla haja nenepa? diamond realy? tupo 2017 na bado tupigizane kelele na mavazi jamani we hope huyu aliye kuvalisha sio qboy msafi maana tuna weza kusema ina kuwaje stylist hajui vipimo vya anae mvalisha, this outfit is wrong in high level na different ways. This is a fashion Crime

 

ALICHOVAA DIAMOND PLATNUMZ KIKATUSHANGAZA

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com