Siku chache zilizo pita kulikua na Tuzo za Golden Awards 2016, kama ilivyo kawaida wengi huwa tuna subiri wakati  huu kuona nani kavaa nini, wakati wengine wakisifiwa muigizaji Bibi Bright kutoka Ghana alikua na wakati mgumu kwani watu walikua waki mzodoa kwamba haja pendeza

3o3bpd1d74816i7cs.127a5da2 1467039891_18_Photos-The-“See-Everything”-Dress-Bibi-Bright-Wore-to-Golden-Movie-Awards Bibi alivaa gauni la kuonyesha (sheer) ambapo miezi kadhaa iliyo pita watu wengi walikua wakivaa kama beyonce,jlo na wengineo lakini kwake ime kua todauti maana watu wame mtupia madongo kwamba haja pendeza na ana onekana kama “fried Chicken” je wewe una onaje?

BIBI BRIGHT ATUPIWA MADONGO KWA MTOKO WAKE HUU

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com