Inatokea wabunifu kuwa inspired na wabunifu wengine kwa hapa hatujajua kama idea zime fanana au mbunifu aliyebuni gauni la Celine Stephanie Rolland alikuwa Inspired na hii nguo aliyo vaa muigizaji kutoka Ghana Zynnell Lydia Zuh, Zynnell Lydia Zuh alilivaa gauni hili mwezi wa nne mwaka huu katika Tuzo za Vodafone Ghana Music Awards  huko Ghana wakati Billboard Music Awards zilifanyika mwezi wa tano mwaka huu, chochote kina wezekana

Celine alilivaa likiwa na rangi nyeupe

wakati Zynnell Lydia Zuh alilivaa likiwa na rangi ya blue 

ina bidi tuulize ipi umeipenda zaidi nyeupe ya Celine Dion au blue ya Zynnell Lydia Zuh? Kumuona mbunifu aliyekuwa Inspired Na Lady Gaga Bonyeza hapa