Katika wasanii ambao wana miliki viatu vizuri basi huwezi kumkosa Lulu na kwa bahati nzuri ana vaa kila aina ya kiatu iwe raba,simple sandals au viatu virefu hivi ni baadhi tu ambavyo tumevipenda

lulu

Lulu katika viatu vya Timberland

lulu2

Red Heels kila msichana katika kabati lake la viatu hatakiwi kukosa hizi.

 

lulu3

Nude open heels hizi zinaonekana anamapenzi nazo sana kaonekana nazo zaidi ya mara mbili

 

lulu4

 

Gladiators zipo katika trend hivi sasa na lulu hajazifanyia makosa

lulu5

CRUSHING VIATU VYA ELIZABETH MICHAEL

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com