Ime pita muda mrefu hatuja uliza nani kapendeza zaidi kati ya watu wawili, ina onekana siku hizi watu wapo makini kuto kufanya repetition, lakini ni season ya Fiesta na sisi jicho letu lipo hapo hapo. Tume ona Dayna Nyange na Maua Sama waki tokelezea na thigh high Lace Up Boots, Je nani ame style vizuri hizi boots?

Dayna alivaa hizi boots na hot pant ya jeans, crop top nyeusi, stockens na accessories na long body chain

13686801_292322541131127_1612343014_n 13687373_649840898510161_1916221350_n

Wakati Maua alivaa boots hizi na hot pant nyeusi, vest nyeupe, blazer ame accessories na chocker

14099334_1159156480772676_1554180132_n

14052307_1638852983071847_2011624115_n

una weza kutupa maoni yako ya nani kapendeza zaidi kwa kutuandikia aktika box la maoni chini au tembelea katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii

Facebook – AfroSwagga

Instagram – Afroswagga

Twitter – afroswaggatz

DAYNA NYANGE VS MAUA SAMA LACE UP BOOTS GAME

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com