Fahad Fuad ni mwanamitindo kutoka Tanzania wakati Diamond Platnumz ni mwanamuziki lakini inaonekana wana radha sawa katika mavazi, Diamond na Fahad wameoneka wakivaa suti sare sare mwaka huu mwanzoni.

2 unnamed

wakati Diamond alivaa suti hio kwa shati jeupe na urembo kama cheni na pete akitupia na viatu vyeusi

Fahadi yeye aliivaa kwa shati la bluu lenye madoa meupe pia na viatu vyeusi

 

6

7

FAHAD VS DIAMOND NANI KAIVAA BOWRA ZAIDI

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com