Darling Hair

Hamisa Mobetto ni model kutoka Tanzania wakati Kylie ni Model kutoka Nchi za nje, Hamisa na Kylie wame onekana kuwa na radha moja katika uchaguzi wa nguo  ambapo

Hamisa alivaa hili gauni katika tamasha la naamka tena la Lady Jaydee

13256658_1760732547479532_2016674983_n

huku Kylie alionekana kuvaa gauni la aina hio hio katika tamasha la MTV Music Awards

thn7vr-l-610x610-dream+wear-kylie+jenner-celebrity+style-bodycon+dress-bodycon-black+dress-lbd-cut+dress-party+dress-clubwear-dress-black

je nani kalitendea haki zaidi hili gauni?

13260797_284677931864458_1775620212_n

 

HAMISA MOBETTO VS KYLIE JENNER

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com