Well week kadhaa nyuma tulimuona actress katika Tamthilia ya empire akiwa ame kivaa hiki kitenge kwenye red carpet na tukaseama kama kuna kitenge kina kiki sasa hivi ni hiki kama ulipitwa bonyeza hapa na jana tume muona mwingine tena akiwa amevaa kitenge kile kile ila rangi tofauti,

 

Neo Jessica Joshua aka Nao

Neo Jessica Joshuani mwanamuziki na record producer wa ki British ambae jana ali attebd brit awards akiwa amevalia african print (kitenge) ambacho we must say mwaka huu kime kiki sana.

she rock it as a two piece yaani skirt na crop top tuna wish ange nyanyua nywele kidogo tuone crop top yake zzaidi, anyways una weza kuiga mshono na ujue kwamba rocking kitenge kwenye red carpet is a new trend

HIKI KITENGE KIME MADE IT KWENYE RED CARPET TENA

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com