Kuvaa Shirt mbele nyuma ndio trend inayo onekana ku kiki kwa sasa, mara ya kwanza tulimuona Rihanna tukapenda mno na kwetu Tanzania mwanamitindo ambae hakoseagi Bi Jokate Mwegelo ame onekana kuvutiwa na Trend hii

Rihanna alivaa shirt hio kama shirt dress na pump heels

CrPX_IaVIAA_O7e

wakati jojo yeye amevaa kimchana mchana, shirt, skin – jeans na pump heels

14280644_1834403920125126_1917645969_n 14359489_1743177259264363_1728924581_n

Je umeipenda hii style? Tupe maoni yako kupitia kurasa zetu katika mitandao ya kijamii

Instagram – afroswagga

Facebook -Afroswaggamag

Twitter – Afroswaggatz

Comments

comments