Karrueche Tran wengi tumemjua kupitia Chriss Brown lakini ni Mwanamitindo na pia ni Muigizaji, katika wiki hii ya Fashioooni Karrueche anaonekana kuifurahia na kuipenda zaidi. Kwa maana ana tupa maelezo ya kila anacho kivaa na ana hakikisha hakosei.

Hii ni baadhi ya mitoko yake

13

Top :Zara Sketi: Marina hoermanseder Hereni: Vintage Chanel Viatu: Schutzshoes

18

Vest: Thomas Swylde Jeans: Topshop Viatu: Lou Boutin World

14

Top: Rehab Sketi: Hrbsn Viatu: Prada Pochi: Ysl

17
19
KARRUECHE TRAN HATAKI MCHEZO KATIKA NYFW

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com