Pale unapokutana na Ooooops Situation inakuaje unapo toka na mtoko wako katika red carpet 2016 umependeza halafu ukaja kugundua kuna mtu mwingine alisha vaa huo mtoko 2013? ni Kat Graham amevaa gauni ambayo alisha vaa Beyonce mwaka 2013 well mwenyewe kat haoni ubaya na kasema Beyonce ka slay the dress lakini bado ina bidi tuulize nani kapendeza zaidi 2016 vs 2013

Beyonce

Beyonce-_-David_Letterman-645x940

katKat-Graham-2016-MTV-Movie-Awards-645x969

Kat Graham Vs Beyonce

kat-graham-1-b023bfc3-97c7-404a-817d-1973866f9a1d

Comments

comments