Usiku wa kuamkia leo, kulikua na Tuzo na American Music Awards ambapo watu wengi maarufu walihudhuria wakiwemo wana mitindo wawili Kendall Jenner na Karrueche tran wote wawili walivalia gauni nyeusi lakini pia walionekana kufanan mtindo wa nywele na make-up je nani kapendeza zaidi

karruache

Karrueche Tran

 

kendall

Kendall Jenner

Comments

comments