Kim Kardashian ame onekana kuvutiwa sana na hivi viatu vya Yeezy, Mara ya Kwanza alionekana akiwa amevalia viatu hivi na shirt dress ambapo huu muonekana haukutuvutia sana

Kim-Kardashian-Wearing-Denim-Over--Knee-Boots-June-2016

lakini mara ya pili ameonekana akiwa amevalia viatu hivi ( Yeezy Thigh-High Denim Boots) na bandage dress hapa tume uelewa mtoko wake na viatu vimeonekana vizuri na kukaa mahala pake

Kim-Kardashian3-a