Ikiwa hata mwaka hauja fika nusu, Lupita amekua aki make headlines na mitindo yake, kuanzia nywele, mavazi hadi make up. Tunajua unapo kuwa maarufu basi watu wengi wana kuangalia na hiko ndicho kinacho onekana kwa Lupita pia. Lupita ni msichana wa kawaida ambae hapendi mambo mengi mwilini mwake mara chache una weza kumuona Lupita akiwa na cheni au saa, nywele zake ni natural yaani ni mu Africa halisi na hii ndo look book yake toka mwaka uanze hadi sasa tulizo zipenda

IMG_4104 Lupita-Nyongo-2016-Variety-Power-of-Women-New-York-Luncheon-Cipriani-Midtown-New-York-City-New-York-April-8-2016 lupita-nyong-o-image-makers-awards-mugler-1024x1535-686x1028 Lupita-Nyongo-Out-NYC-February-2016-Pictures stock-photo-lupita-nyong-o-at-the-los-angeles-premiere-of-the-jungle-book-held-at-the-el-capitan-theatre-in-400961524 tumblr_inline_nyjialIApM1te9s4t_1280

 

Comments

comments