Kuna watu ambao huwa tuna sema hawazeeki na miili yao ipo vile vile siku hadi siku kwa huko mbele wapo wengi kama Jada Pinkett Smith, Angelina Jolie, Gabriella Union na wengine wengi kwa hapa kwetu tunao wachache tunao jivunia akiwepo m-Tanzania anaye ishi Nje ya Nchi Bi Mange Kimambi, Mange sisi huwa tunamuita Kriss Jenner wa bongo anavaa vile anavyo jisikia na ana slay,

Jana mange amepost picha hizi akiwa amevalia blue dress yenye urembo wa silver kwa mbele na mikononi

Gauni kwa nyuma

Ni gauni zuri kweli lakini lakini tukienda kwenye wedding guest do and dont’s, unaambiwa usionyeshe too much skin na tuna weza kusema Mange kakiuka hii rule kaonyesha too much skin the dress would be better off kwenye red carpet than kwenye harusi

je our afrogang nyie mnaonaje?

Comments

comments