We all love brothers who can dress up and of course smell good, hatujui kuhusu Oran kama ana nukia as hatujawahi kuonana nae ila one thing is for sure he can dress up (ila huwezi ku dress to kill halafu unuke vibaya right?), leo amekuwa man crush outfit of the day wetu baada ya kutembelea page yake Instagram na kuona ana faa, Instagram ana jiita @Oran_de_blues, ni majasiriamlai, marketer, commercial model na Fashinosta ( amen to a brother)

Oran in all black outfit tunadhani hapa ilikuwa bado gym na u fashionista hauja kolea vizuri

Hapa he is popping some colors, so much classy

casual in jeans, green shirt na white raba.

Ooh this picture ni moto, love everything katika hii picture, the colors,style, face serving kila kitu.

inaonekana nyeusi ndio kara anayo ipenda well way to go Oran wafundishe hawa vijana wa kibongo jinsi ya kupendeza

Je we umependa muonekanao upi tuambie

Instagram – aforswagga

Twitter – afroswaggatz

Facebook – afroswaggamag