Wanasema Uki Copy basi jaribu ku edit uongezee vyako lakini kwa bahati mbaya mbunifu huyu kutoka Nigeria yeye aliona tu a copy na ku past yaani control C halafu control V, Katika Tuzo za  Africa Movie Academy Awards, Zilizo fanyika hivi karibuni muigizaji/model  Beverly Osu alionekana akiwa amevalia hili gauni la blue ambalo lilimkaa na kumpendeza

Lakini likatukumbusha hili gauni pia ambalo alilivaa Mwanamuziki kutoka Ulaya Lady Gaga likiwa limebuniwa na mbunifu Brandon Maxwell

Well wabunifu Africa  creativity ime isha kabisa? hii sio kuwa inspired hii inaitwa ku copy na ku paste.