Fashion blogger Nini ambae blog yake inaitwa stylewithnini ame tuonyesha namna unavyo weza kuvaa top ya kitenge moja mara nyingi uwezavyo, kwa kutumia style mbali mbali

hapa akiwa amevaa top hio na skin jeans, pumps akamalizia na embellished clutch

Hapa akiwa amevaa top hio na maxi kitenge skirt this can be a church outfit

Hapa akiwa amevaa tena hio off shoulder kitenge top na kitenge short pant (inaonekana kama jumpsuit)

Hapa akiwa ame tuonysha namna nyingine ya ku style top hio

well hii ina tufundisha kuwa una weza kuwa na nguo chache lakini uka zi style namna tofauti tofauti bila ku bore. tuambie muonekano upi umeupenda zaidi?

Comments

comments