Lulu na Hamisa ni wasichana wano fanya kazi mbili tofauti ikiwa lulu ni muigizaji wakati hamisa ni mwanamitindo, lakini wawili hawa wanaonekana waki shahabiana katika jambo moja nalo ni mitindo. Kila mmoja wao ana penda kuoneka ki leo na mtanashati. Wiki hii wame fungana katika kuvaa remba la kinigeria je nani kapendeza zaidi?

HAMISa

mobeto

Hamissa Mobetto

eliza lulu

Lulu

Comments

comments