Garcelle Beauvais amehudhuria sherehe za baada ya kufanyika Tuzo za VMA 2015 akiwa amevalia gauni ambalo Jennifer Lopez alilivaa mwezi wa tatu mwaka huu akiwa ameenda kupata chakula cha usiku STK. Gauni hilo lina uza $455 ambazo ni sawa na pesa zetu za Kitanzania Tzs 955,500/= na lime buniwa na Rachel Zoe 

jlo

 

NANI ALIVAA VIZURI ZAIDI?

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com