You got to love when women support each other, Victoria Beckham ana clothing line yake na ame kuwa akionekana akivaa collection yake mpya mara kwa mara Victoria Beckham  Pre-Fall 2017, ni kama kuitangaza tuna dhani

Hapa Victoria akiwa amevaa collection yake ni gauni ya mustard akiwa ame vaa na boots nyeupe pia kutoka kwenye collection yake,

Jana mwanamuziki Selena Gomez ame kuwa spotted akiwa amevalia gauni kama la Victoria, of course yanauzwa right? amevaa gauni same color tofauti ni viatu na accessories  tu

je who rocked the Victoria Beckham Pre-Fall 2017 best kati ya Selena na Victoria mwenyewe?

Tuambie kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz