Hawa ni wadada wachache ambao wana followers wengi Instagram lakini si watu maarufu, Wengi huwafollow kwa sababu ya mitindo yao na kati ya hawa wengi hutuma picha zao za mavazi yao kila siku ni namna gani wamevaa. Angalia Picha chache za mitupio yao na tuambie yupi katisha.

Anaitwa @eppielunji hana followers wengi sana ila ni Fashionkiller

eppie1 eppie2 eppie3 eppie4

 

@neneeblackchyna yeye mara kwa mara anapost alicho kivaa pia ni mkali katika mitindo

 

nenee1 nenee2 nenee3

 

@pvcambo huyu pia ana fanya mziki lakini ana fanya vizuri katika mitindo

pv2 pv3

pv1

@samia_juer ni fashionista pia

 

samia1 samia2 samia3 samia4

 

WATUPIAJI INSTAGRAM

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com