Munna na Jokate wame tupia picha katika mitandao ya kijamii wakionekana kupendeza mno, na kama fashion blog tuna sema Amen to this. Siku yetu imekuwa made baada ya kuona picha hizi na mavazi yao japo kuna mistake za hapa na pale lakini ndivyo dunia ilivyo right? hakuna aliye kamilika

tumependa nguo ya Jokate na jinsi alivyo i-accessorize the hair do & make up ipo so on point

Tumependa nguo ya Munna & the clutch is wow, lakini make up na nywele hatuja zipenda kivile japo ina sameheka maana the dress is out of this world.

Je our Afronista mna wapa marks ngapi?

Comments

comments