Kila mtu ana ongelea kuhusu uwepo wa mwanamuziki na muigizaji Will Smith Tanzania lakini sio tu Will hata Mwanamitindo Channel Iman nae yupo Tanzania, Kinacho trend kwa sasa ni suruali aliyo ivaa Will katika Vocation hio Lol

Will amevaa form six nyeupe na suruali ya pundamilia na boots, He looks Good kwa kweli ila tumeonekana kuwa na tatizo na hio suruali ame fikiria nini? he seems like ana jaribu ku blend in na pundamilia, itakuaje kama wanyama wanao kula wanyama wenzano wakimuona na kudhani na yeye ni pundamilia “we still need you will” tafadhali someone tell willie avue hio suruali.

As for Iman she slays the Channel in her

#WHATSTRENDING – ALICHOVAA WILL SMITH AKIWA VOCATION TANZANIA

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com