Stylist machachari Noel Ndale a.k.a @noelgiotz kutoka The Stylist Studio, ambae ana style wasanii, watu maarufu mbalimbali ameonekana kustyle watu maarufu  wawili na kuwavalisha gauni moja

Tulianza kuliona kwa Mwanamuziki Maua Sama katika cover ya wimbo wake main chick, ambapo alivaa hii gauni nyekundu yenye kiua na mpasuo mbele amestyle na  Red Gauze Bridal Fascinator, dropped earings na red lipstick.

Akamlizia muonekano wake na nude pumps

Wakati Rose ndauka yeye ameonekana akiwa amevalia same dress na amekua styled na same stylist noel, yeye alivalia na open metallic heels, curly blonde hair

huku akiwa ame accessorize na saa na pete, amemaliza muonekano wake na simple makeup na bold red lipstick

who rocked it better?