Ukiongelea Red Carpet kuna wale watakao pendeza na wale watakao boha sasa jana katika Brit awards Hawa ndio walio tuacha mdomo wazi like what Happened?

Charlotte Crosby alivaa a printed dress ambayo haikuwa hata ina eleweka hope its not a designer thing maana mmh how can one buy a costive designer dress ambayo hata haina curves

Grace Chatto was all shine na rangi rangi zake its a NO to us

Heloise Letissier hatuna uhakika kama ndio shirt ilivyo takiwa kuwa au kifungo kili katika and the shoes? mmmh

Charli XCX just purple disaster

Nicole she went all the way up na matching blazer na boots ambazo hazikutuvutia na hair stylist wake she has to fire him/her

Comments

comments