We love us some Moschino huyu designer yupo very creative mwaka jana alikuja na collection ya mavazi ambayo yameunguzwa na moto hatukuziona sana kwenye red carpet lakini tunadhani kwenye hizi video music au movies zimetumika sana

mwaka huu amekuja na collection ambayo ameishow case Milan na sisi tumeipenda na tunadhani itawavaliwa sana kama ni mtaani au kwenye red carpet kuna tutu skirts, fishnets tights, jackets the boots are life

 

lakini tulizo zipenda zaidi ni hizi gauni zilizo kuwa inspired na maua na vipepeo

Tuambie umeipa max ngapi collection hii?

 

Comments

comments