Mbunifu maarufu nchini Tanzania Ally Rehmtullah ameungana na kinywaji maarufu cha peroni kutafuta wanamitindo wa kike na wakiume. Usaili utafanyika Alhamis tarehe 19/11/2015 Akemi Restaurant (golden Jubilee Posta) kuanzia saa tisa mpaka saa kumi na moja jioni.

index

ALLY REHMTULLAH NA PERONI WATOA FURSA KWA WANAMITINDO

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com