Amber Levonchuck au Amber Rose pamoja na Kimberly “Kim” Kardashian West ambao wote ni waigizaji na wana mitindo wame kuwa katika mtafaruku kwa muda mrefu sasa hii ni kutokana na Kim Kardashian kutembea na aliye kuwa mpenzi wa Amber Rose (Kanye West) ambae kwa sasa ni baba watoto wake.

kim

Amber Rose ambae ni rafiki mkubwa wa Black Chyna wote waliporwa wanaume wao na The Kardashian (kylie na Kim kardashian), Leo Amber na Kim wame post picha wakiwa pamoja je wame sameheana? kama ndio vipi kuhusu Black Chyna? je itakuaje kuhusu uhusiano ulianzishwa kati ya Black Chyna na Rob Kardashian? mmh.