Beyonce ni mwanamuziki, muigizaji lakini pia ni mjasiriamali ambae tuna weza kuiita wiki hii “wiki ya Beyonce” kwa maana ameachia wimbo na pia mavazi ambayo  ame yapa jina l  “Formation Clothing Line”, Formation ni jina la huo wimbo wake mpya. Mavazi hayo yenye maneno kama “Fresher than You” na  “Smack It” yanauzwa kuanzia  $25 mpaka $70 ambazo ni sawa na Tsh 110,000 mpaka 154,000 mavazi haya yanauzwa kwenye website yake Beyonce.

Beyonce-Released-Reformation-Clothing-Line Beyonce-Released-Reformation-Clothing-Line3 Beyonce-Releases-Reformation-Clothing-Line

Beyonce-Releases-Formation-Clothing-Line1-900x1200

 

Comments

comments