Beyonce ni kama ame fanya before & after challenge, kama mna kumbukumbu nzuri Beyonce ali break internet na picha zake za maternity wakati akiwa mjamzito na watoto wake mapacha ambao amajifungua mwezi mmoja ulio pita na kuwapa majina Rumi na Sir. Carter. Picha yake moja ambayo ilionekana kupendwa na wengi na hata baadhi ya watu maarufu kui-recreate katika maternity photo shoot zao ni hii

imeonekana beyo ameipenda sana hii ameamua kutumia theme hii hii kuonyesha sura za watoto wake, well je ita break internet kama ya kwanza? we wait & see

Na kwa wale ambao walikuwa wanajiuliza jinsia tunadhani tayari tumesha jibiwa na hio pink & blue inayo endelea hapo mapacha hawa ni wa kike na kiume, Tunadhani Rumi ni wa kike na Sir. Carter wa kiume we can’t wait to see Jigga with his mini me

Beyonce Ame Recreate Martenity Photoshoot Yake Kutuonyesha Watoto Wake

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com