Halloween ni kama sikukuu ambayo ufanyika kila tarehe 31/10/2015 uko nchi za nje, siku hii inaaminika ni siku ya watu wasio na dhambi unavaa vile utakavyo eidha kama malaika,shetani na wengine hu copy kutoka kwa wasanii maarufu. Kwa Jay Z na Beyonce wao waliamua kutoka kama Prince Akeem na Queen Aoleon katika movie ya  Coming to America ya Eddie Murphy iliyo tamba katika miaka ya 1990.

B01MdjzCcAEq-6T

Prince Akeem na Queen Aoleon katika movie ya  Coming to America

beyonce-1024

Beyonce na Jay Z, Si mara ya kwanza kwa Beyo kuvaa kitenge lakini kizuri ni kumuona Beyo ana rudia rudia hili vazi ina maanisha kalikubali/kulipenda

Beyonce-Jay-Z-Halloween-Costume-2015

BEY

BEYONCE NA KIVAZI CHA KITENGE KATIKA HALLOWEEN

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com