Imekua mtindo siku hizi kuvaa nguo zenye maneno/picha za wasanii maarufu, kama because am happy, flawless, BBHMY, na mengine mengi, huu mtindo upo hata hapa kwetu watu huvaa tshirt zenye maandishi au sura ya msanii bila ruhusa kutoka kwa wenyewe. Wasanii maarufu kama Beyonce, Jay Z, Pharell, Rihanna na wengine wengi wame ishtaki kampuni ya mavazi iitwayo Eleven Paris kwa kutumia picha zao bila ridhaa kutoka kwao.

Kampuni hio imetoa tshirt, bag za mgongoni na cover za simu zenye maneno kama Kanye Is My Homie” na  “Pharrell Is My Brotha bila ridhaa za wenye majina yao.

badhi ya bidhaa hizo

1099_1 Rihanna-effigie-Eleven-Paris eleven_paris_pharrell_williams_t-shirt_black_1

Eleven-Paris-Fall-Winter-2014-Campaign-Wiz-Khalifa-001

2D3607CA00000578-3265573-image-a-82_1444338219075