Ikiwa ni siku chache toka kampuni ya Christian Louboutin walivyo toa viatu vipya ambavyo ni ballerina Flats,

Christian-Louboutin-Ballet-Flat01

 

watu wamekua wakivilalamikia kutokana na muundo wa viatu kuto kutendea haki vidole vya miguu, kwa mara ya kwanza kuviona hatuku fikiria kuhusu kitu hicho kutokana na viatu kuwa vizuri na hasa rangi zake ambazo ni nude na vime tengenezwa kwa rangi ambazo mwanamke yoyote wa rangi yoyote ana weza kuvaa.

Christian-Louboutin-Nude-Flats-Spring-2016-2-645x430

baada ya kuzindua viatu hivyo watu walivamia katika kurasa za kampuni hio na kuanza kutoa malalamiko yao kuhusu muundo wa viatu hivyo

1459434186-screen-shot-2016-03-31-at-102241-am

 

1459434341-screen-shot-2016-03-31-at-102518-am

wakati ujao inabidi mbunifu na anae ruhusu bidhaa kuenda sokoni wa kampuni hii kuwa makini zaidi.