As usual kila juma likiisha tunakuwa na lokoo ya waliopendeza na walio zingua katika mavazi week nzima,

well tunakuletea leo nani alipendeza na nani kwetu tumeona ameenda kushoto Je wewe msanii wako yupo group lipi? Tazama Hapo chini na kwenye lsit yetu yupo Vanessa Mdee, Nikki Wa Pili, Joujou Nyaki, Nikki Wa Pili Na kwa Nchi za jirani yupo Victoria Kimani na Tv Host Bettinah Tiannah

Well tukutane tena week ijayo.

Comments

comments