Daxx Cruiz ni moja wa wanamitindo wa kiume wanaofanya vizuri katika kazi zao, Daxx alianzia kazi yake katika ngazi ya chini kabisa mpaka alipo anza kuonekana kwenye majukwaa makubwa nchini kwetu. Ametumia muda mwingi kuonyesha kipaji chake nchini na miaka miwili Africa ya kusini na mpaka sasa ambapo ame sainiwa na kampuni kubwa U.S.A.

cf

Kwa upande wa wavulana Daxx ndio mwanamitindo wa kwanza wa kiume kusainiwa U.S.A wakati kwa wasichana kuna Flaviana,Miriam,Tausi, Herrieth Pamoja na Millen Magesse. Tutegemee Kumuona Daxx katika majukwaa makubwa ya Millan,London,Paris,Munich.

hg

Hongera Daxx

DAXX CRUIZ ASAINI MKATABA MKUBWA U.S.A

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com