Kampuni kubwa ya mavazi Dolce & Gabbana ime onekana kukumbwa na msuko suko kwa kutumia neno hili kama slogan ya kiatu  chao, kwa sasa graphic fashion ina onekana kurudi na kila mbunifu ana tafuta namna ya kuweza kutumia maneno au michoro katika ubunifu wake,

Dolce & Gabbana nao wakaona kwanini wapitwe wakaamua ku introduce sneakers zenye maandishi yanayo someka Thin & Beautiful

hii ime onekana kuwa kera wengi katika social media, kwa sababu kipindi tulichopo tuna hamasisha watu wote kujipenda uwe mwembamba, mnene we are all beautiful na kampuni kubwa kama kama hio kutumia  hio slogan ina rudisha tena watu nyuma walipo toka kwamba watu wembamba tu ni wazuri.

Wengi walichukua muda wao kuandika hisia zao kuhusu viatu hivyo baadhi ya maoni ya watu ni haya

Stefano Gabbana nae alichukua muda wake kujibu mashambulizi

Well Stefano una kimbiza wateja watu wana haki ya kutoa mawazo yao right?

Comments

comments