Queen Godwin au Queen Enare kama ambavyo ana julikana katika mitandao ya kijamii ni mbunifu anae chipukia kutoka Tanzania japo kwa sasa makazi yake ni nje ya Nchi, Enare ametoa Collection yake mpya ya summer collection ambapo ame buni suruali na kaptura za jeans,

IMG_1041 IMG_1066

Enare distressed jeans IMG_1076 IMG_1085

Enare hot pantsIMG_1121 IMG_1122