Beyo alikuwa kimya kwa muda mrefu, hatukua tunamuona mara kwa mara sio kwenye matembezi wala katika mitandao ya kijamii wambea wengi tulikua tunajiuliza je ana kuja baby ivy namba mbili? au ana ifanyia kazi album yake mpya? lakini jana bi dada Beyonce katu suprise na collection mpya ya mavazi iliyo jina la mtoto wake Blue Ivy, Ikiwa ni Collection ya mavazi zaidi ya 200  ime kusanya nguo za mazoezi kama blazia, skin tight za mazoezi,waistband,bodysuits, socks na vitu vingine vingi vihusianavyo na michezo. Bei ya mavazi haya ni kuanzia $30 hadi $200 wengi wataweza ku nunua.

1280_beyonce_ivy_park_athleisure_wear_ad 160331-beyonce-ivy-park-clothing-line-mdl_copy_fb9369c7130ab3d25d04aa40ce9da4e3.nbcnews-ux-2880-1000 beyonce beyonce-ivy-park-compressed screen-shot-2016-03-31-at-10-53-34-am

Angalia video ya Ivy park SS16 hapa chini

 

 

Comments

comments