Darling Hair

Jaden Smith 17, ni mtoto wa muigizaji Willy Smith pamoja na mkewe Jada Pinkett. Jaden amefuata nyayo za baba yake za uanamuziki pia  uigizaji ambapo amesha wahi kufanya filamu kama The Karate Kid na After Earth ambayo alifanya na baba yake. Hivi karibuni Jaden alifanya kazi na Kampuni ya mavazi iitwayi  Luis Vuitton ambapo alivaa skirt ilileta maneno mengi hasa katika mitandao ya kijamii lakini haija ishia hapo Jaden amefanya tena kazi na kampuni ya Vogue ambapo hivi sasa amevaa skirt na kupaka rangi kucha, katika mahojiano na kituo kimoja cha luninga Jaden aliulizwa kuhusu mavazi na jibu lake lilikua “ni wapi pameandikwa mwanaume avae suruali na mwanamke skirt? nani ameweka hizi sheria?”

Snapshot-Jaden-Smith-and-Willow-Smith-by-Peter-Ash-Lee-for-Vogue-Korea7-518x600 Snapshot-Jaden-Smith-and-Willow-Smith-by-Peter-Ash-Lee-for-Vogue-Korea9 Snapshot-Jaden-Smith-and-Willow-Smith-by-Peter-Ash-Lee-for-Vogue-Korea10

JADEN SMITH AVAA SKIRT KATIKA GAZETI LA VOGUE KOREA

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com