Okay huu ndio mtoko aliotaka kuvaa Jokate Mwegelo Miss Tanzania (2nd) 2006 katika Sinema Zetu International Film Festival, mwenyewe amesema alipata dharula akashindwa kuudhuria but the dress was ready na alisha fanyiwa makeup and everything. Tunaweza kusema kama angeenda angewanyoosha mno wengi walivaa color tulivu yeye alichagua red ambayo imemfanya a-pop vizuri kabisa.

Makeup on point and the hair do ilikuwa nzuri but tumeona hii hair do haija itendea haki hii dress ipo too normal for the dress but si mbaya amependeza

 

Dress imebuniwa na Mac Couture, Mac this is the dress ungeweza kutuambia umechukua miezi kulibuni nice work, the details are perfect, fittings nzuri we love the dress

japo hakufanikiwa ku attend Jokate amewekwa katika list yetu ya ambao walipendeza katika hii event, dare to be different & dare to be extra.

Let us know upande wako yay or nay?

Jokate Mwegelo Looks Stunning In Red Gown By Mac Couture

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com